Mdau wa muziki wa mfanyabishara Petit Man ametoa amoni yake kuhusu Rapper Country boy kusainiwa na lebo ya Konde Gang iliyopo chini ya Harmonize.
Patit amewajibu watu wanaodai kuwa Country boy ni msanii mkubwa na hakupaswa kusainiwa na Harmonize bora angeanzia lebo yake.
Patit pia ameongeza kuwa katika wasanii wote wa Bongo Fleva ambao amewahi kuwa nao karibu hakuna msanii wmenye nidhamu kama Country boy pamoja an Younglunya.
Comments
Post a Comment