WHO ilijua kuhusu virusi vya corona miaka miwili iliopita.
Mnamo mwezi Februari 2018, kundi la wataalam wa Shirika la Afya Duniani (WHO) lilichapisha orodha ya magonjwa ambayo yanapaswa kupewa kipaumbele katika uangalizi na utafiti kutokana na tishio kubwa yanayotoa.
Orodha ya magonjwa manane ilishirikisha Ebola, Zika, Homa ya Lasa, Homa ya Rift Valley, Homa ya Crimean Congo, Ugonjwa wa Nipha na magonjwa ya mapafu ya SARS na MERS.
Lakini ugonjwa mmoja zaidi ulikuwepo na ukapewa jina X.
Ugonjwa huo WHO ilisema kwamba utatoa mlipuko hatari wa kimataifa na utasababishwa na viini vinavyoweza kusababisha maambukizi miongoni mwa binadamu.
''Kweli Covid 19 ndio ugonjwa uliopewa jina X'', alisema Dkt. Josie Golding, Mkuu wa Magonjwa ya Milipuko katika shirika la kufanya tafiti mjini London.

Comments
Post a Comment